Numbers 1:1

Watu Wahesabiwa Kwa Mara Ya Kwanza

1 a Bwana alisema na Musa katika Jangwa la Sinai, katika Hema la Kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya Waisraeli kutoka nchi ya Misri. Akamwambia,
Copyright information for SwhKC